Loading...
title : KIGWANGALLA AWATAKA WALIOVAMIA KIWANJA MAMLAKA HIFADHI YA NGORONGORO KILICHOPO NJIRO WAJIANDAE KISAIKOLOJIA
link : KIGWANGALLA AWATAKA WALIOVAMIA KIWANJA MAMLAKA HIFADHI YA NGORONGORO KILICHOPO NJIRO WAJIANDAE KISAIKOLOJIA
KIGWANGALLA AWATAKA WALIOVAMIA KIWANJA MAMLAKA HIFADHI YA NGORONGORO KILICHOPO NJIRO WAJIANDAE KISAIKOLOJIA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akipata maelezo ya eneo la kiwanja chenye hati namba 4091 kilichopo Njiro Jijini Arusha ambacho kimevamiwa na watu mbalimbali na kuanzishwa makazi yenye kaya 82 ndani ya eneo hilo kutoka Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, Dk. Fredy Manongi (katikati). Eneo hilo ni mali ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na hati halisi ya eneo hilo ipo kwa jinala Bodi ya Utalii Tanzania.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua eneo la kiwanja chenye hati namba 4091 kilichopo Njiro Jijini Arusha ambacho kimevamiwa na watu mbalimbali na kuanzishwa makazi yenye kaya 82. Eneo hilo ni mali ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na hati halisi ya eneo hilo ipo kwa jinala Bodi ya Utalii Tanzania.
Meneja wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, Egidius Mweyunge (kulia) akimuongoza Waziri Kigwangalla kukagua eneo hilo.
Dk. Kigwangalla akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua eneo hilo.
Hivyo makala KIGWANGALLA AWATAKA WALIOVAMIA KIWANJA MAMLAKA HIFADHI YA NGORONGORO KILICHOPO NJIRO WAJIANDAE KISAIKOLOJIA
yaani makala yote KIGWANGALLA AWATAKA WALIOVAMIA KIWANJA MAMLAKA HIFADHI YA NGORONGORO KILICHOPO NJIRO WAJIANDAE KISAIKOLOJIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KIGWANGALLA AWATAKA WALIOVAMIA KIWANJA MAMLAKA HIFADHI YA NGORONGORO KILICHOPO NJIRO WAJIANDAE KISAIKOLOJIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/kigwangalla-awataka-waliovamia-kiwanja.html
0 Response to "KIGWANGALLA AWATAKA WALIOVAMIA KIWANJA MAMLAKA HIFADHI YA NGORONGORO KILICHOPO NJIRO WAJIANDAE KISAIKOLOJIA"
Post a Comment