Loading...
title : MAJINA YA VYUO YABADILISHWA ZANZIBAR
link : MAJINA YA VYUO YABADILISHWA ZANZIBAR
MAJINA YA VYUO YABADILISHWA ZANZIBAR
Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kiliunganishwa na Chuo cha Uongozi wa Fedha Zanzibar cha Chwaka, Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar cha Maruhubi na Chuo cha Afya cha Mbweni kwa sheria No. 7 ya mwaka 2016
Kutokana na muungano huo, majina ya taasisi hizo yamebadilika na kua kama inavyoonekana kwenye jadweli hapa chaini
S/NO
|
JINA LA ZAMANI
|
JINA JIPYA
|
1
|
Chuo cha Uongozi wa Fedha Zanzibar
|
Skuli ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar.
|
2
|
Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar
|
Taasisi ya Utalii ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar
|
3
|
Chuo cha Afya
|
Skuli ya Afya na Tiba ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar
|
Hivyo, mawasiliano yote yanayohusu taasisi hizi yapelekwe kwa anuani ifuatayo:-
Makamu Mkuu wa Chuo
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar
S.L.P. 146
Tunguu – Zanzibar.
IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR
Hivyo makala MAJINA YA VYUO YABADILISHWA ZANZIBAR
yaani makala yote MAJINA YA VYUO YABADILISHWA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJINA YA VYUO YABADILISHWA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/majina-ya-vyuo-yabadilishwa-zanzibar.html
0 Response to "MAJINA YA VYUO YABADILISHWA ZANZIBAR"
Post a Comment