Loading...
title : NEWS ALERT: Mwanamuziki mashuhuri wa Afrika Kusini Hugh Masekela afariki dunia
link : NEWS ALERT: Mwanamuziki mashuhuri wa Afrika Kusini Hugh Masekela afariki dunia
NEWS ALERT: Mwanamuziki mashuhuri wa Afrika Kusini Hugh Masekela afariki dunia

Bendi yake imetoa taarifa ikisema kwamba marehemu Hugh Masekela amekuwa akipambana na ugnjwa huo tangia mwaka 2008, na kwamba mnamo Machi 2016 alifanyiwa upasuaji wa jicho baada ya saratani kusambaa ikabidi akafanyiwa upasuaji mwingine mwezi Septemba mwaka huo huo.
Hugh Masekela, aliyezaliwa mji wa KwaGuga huko Witbank, alianza kuimba na kucheza piano tangia akiwa mtoto. Na baada ya kuona filamu ya ‘Young Man with a Horn’ akiwa na umri wa miaka 14, Masekela akaanza kupuliza tarumbeta, ambapo Archbishop Trevor Huddleston ndiye alimpa tarumbeta yake ya kwanza.
Haukuchukua muda Masekela aliweza kuitawala trumpet hiyo na mwaka 1956 akajiunga na kundi lz jazz la Herbert’s African Jazz revue. Enzi za uhai wake alisema alitumia muziki kama silaha ya kusambaza mageuzi ya kisiasa enzi hizo za ubaguzi wa rangi, na alifanikiwa sana.
Hivyo makala NEWS ALERT: Mwanamuziki mashuhuri wa Afrika Kusini Hugh Masekela afariki dunia
yaani makala yote NEWS ALERT: Mwanamuziki mashuhuri wa Afrika Kusini Hugh Masekela afariki dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: Mwanamuziki mashuhuri wa Afrika Kusini Hugh Masekela afariki dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/news-alert-mwanamuziki-mashuhuri-wa.html
0 Response to "NEWS ALERT: Mwanamuziki mashuhuri wa Afrika Kusini Hugh Masekela afariki dunia"
Post a Comment