Loading...

WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO

Loading...
WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO
link : WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO

soma pia


WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO


BALOZI wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro,  Sylvester Mabumba ameupokea ujumbe wa Clouds Media Group uliowasili visiwani humo Januari 20 mwaka 2018.

Upo kwenye ziara maalumu ya siku tatu ikiwa na lengo la kushirikiana na ubalozi kuzitangaza fursa mbalimbali zinazopatikana visiwani humo kwa Watanzania. Ujumbe huo wa Clouds Media Group ukiongozwa na Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba uliwasili Comoro kutokana na mualiko wa Ubalozi wa Tanzania hapa Comoro

Ambapo lengo lake lilikuwa ni kuja kufanya tathamini ya kuzindua Jukwa la Fursa (FURSA EXPO) Visiwani Comoro kama sehemu ya kuendeleza kampeni za kuwapatia vijana wa kitanzania taarifa muhimu kuhusu fursa za uwekezaji na biashara.

Ubalozi wa Tanzania Visiwani Comoro kwa kushirikiana na Ujumbe wa Clouds Media Group umelenga ifikapo Aprili mwaka 2018 kupanua mianya ya uwekezaji nchini Comoro na kuhakikisha masoko ya uhakika yanapatikana kwa ajili ya bidhaa za Tanzania hasa katika kipindi hiki ambapo Uchumi wa Tanzania unaelekea kuwa ni uchumi wa Viwanda. 
Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe, Sylvester Mabumba (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji wa Comoro, Bw. Said Mohamed Omar (wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi wa vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group pamoja na wajumbe waliofuatana nao katika ziara maalum ya kufungua na kuzitangaza fursa zilizopo Tanzania na Comoro.
Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya comoro pamoja na Wajumbe kutoka clouds Media Group wakiwa katika mazungumzo ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Comoro, Bw. Mouzamildine Youssouf.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO

yaani makala yote WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/watanzania-wahimizwa-kuchangamkia-fursa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO"

Post a Comment

Loading...