Loading...

NAPE AZUNGUMZIA SAKATA LA KUHAMA VYAMA WABUNGE, MADIWANI

Loading...
NAPE AZUNGUMZIA SAKATA LA KUHAMA VYAMA WABUNGE, MADIWANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAPE AZUNGUMZIA SAKATA LA KUHAMA VYAMA WABUNGE, MADIWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAPE AZUNGUMZIA SAKATA LA KUHAMA VYAMA WABUNGE, MADIWANI
link : NAPE AZUNGUMZIA SAKATA LA KUHAMA VYAMA WABUNGE, MADIWANI

soma pia


NAPE AZUNGUMZIA SAKATA LA KUHAMA VYAMA WABUNGE, MADIWANI


Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema ipo haja ya kupitiwa upya kwa sheria inayosimamia thamani ya kura hasa katika kipindi hiki cha wabunge na madiwani kuhama vyama vyao.

Ametoa kauli hiyo jana Alhamisi Agosti 16, 2018 katika ofisi ndogo za Bunge visiwani Zanzibar katika mafunzo ya siku mbili ya kamati ya uongozi, makamu wenyeviti wa kamati za Bunge pamoja na wajumbe wa tume ya utumishi wa Bunge.

Amesema pamoja na uwepo wa wimbi kubwa la wanasiasa kuhama, wapigakura wanatakiwa kupewa thamani yao kwa kuwa wakati wa uchaguzi wao ndio uhitajika kupiga kura kuchagua wawakilishi wao.

Amebainisha kuwa licha ya Katiba ya nchi na sheria mbalimbali kutominya fursa ya mwanasiasa kuhama chama kimoja na kwenda kingine, bado thamani ya mpiga kura inapaswa kuenziwa.

"Siwezi kupingana na Katiba kuhusu hamahama za wanasiasa lakini ni vyema thamani za wapiga kura ikatambulika vyema,” amesema Nape.

Katibu huyo wa zamani wa Itikadi na Uenezi wa CCM, amesema ni vyema kukawa na sheria ambayo itampa mamlaka mbunge au diwani anayehama chama baada ya uchaguzi, aendelee kuwa na nafasi hizo katika chama anachokwenda.

Amesema jambo hilo likifanyika litaokoa kiasi kikubwa cha fedha kinachotumika katika chaguzi ndogo kwenye maeneo ambayo mbunge au diwani amehamia chama kingine.



Hivyo makala NAPE AZUNGUMZIA SAKATA LA KUHAMA VYAMA WABUNGE, MADIWANI

yaani makala yote NAPE AZUNGUMZIA SAKATA LA KUHAMA VYAMA WABUNGE, MADIWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAPE AZUNGUMZIA SAKATA LA KUHAMA VYAMA WABUNGE, MADIWANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/nape-azungumzia-sakata-la-kuhama-vyama.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAPE AZUNGUMZIA SAKATA LA KUHAMA VYAMA WABUNGE, MADIWANI"

Post a Comment

Loading...