Loading...
title : ZIARA YA DC MJEMA YAMUIBUA MBAKAJI SUGU PUGU.
link : ZIARA YA DC MJEMA YAMUIBUA MBAKAJI SUGU PUGU.
ZIARA YA DC MJEMA YAMUIBUA MBAKAJI SUGU PUGU.
Mwamba wa habari
Na John Luhende
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Sophia Mjema ameamuru kukamatwa na kuwekwa ndani pamojana kufanyiwa uchunguzi kwa mkazi mmoja wa Pugu mnadani marabaada yakulalamikiwa na baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakimtuhumu kumbaka mtoto wake wakike anayekadiriwa kuwa na miaka saba.
Shutuma hizo zimetolewa na wakazi hao katika mkutano wa DC Mjema ulifanyika Pugu mnadani kwaajili ya kusikiliza kero za wananchi wa eneo hilo ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake jimboni ukonga kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia majawabu, mkazi huyu ambaye tumelihifadhi jina lake anaeleza namna mttoto huyo anavyoishi mazingira magumu kwa sababu ya vitendo vya kikatili anavyo tendewa na Babayake.
Msamalia mwema huyo ameendelea kudai kuwa hatamajiran wanafahamu kuhusu jambo hilo lakini wamekuwa wakikosa ushirikiano kutoka kwa Baba huyo kujua ukweli kuhuu maisha ya mtoto huyo.
Marabaada ya madai hayo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akaagiza alimwita mtuhumiwa huyo lakini alikuwa amesha anza kutoroka mkutanoni hapo na kwenda kubadili mavazi aliyokuwa nayo mwanzo lakini akafuatwa na kukamatwa huku akijitia mwenda wazimu akijibu mambo tofauti na anacho ulizwa.
Mtuhuyo atafikishwa Mahakamani pindi pindi uchunguzi wa DNA utakapo fanyika kaqma alivyo agiza DC Mjema , na mtoto huyo kwa sasa yuko katika Hospitali moja wapo hapa Jijini Dar es salaam.
Hivyo makala ZIARA YA DC MJEMA YAMUIBUA MBAKAJI SUGU PUGU.
yaani makala yote ZIARA YA DC MJEMA YAMUIBUA MBAKAJI SUGU PUGU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA DC MJEMA YAMUIBUA MBAKAJI SUGU PUGU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/ziara-ya-dc-mjema-yamuibua-mbakaji-sugu.html
0 Response to "ZIARA YA DC MJEMA YAMUIBUA MBAKAJI SUGU PUGU."
Post a Comment