Loading...
title : TAARIFA YA MSIBA
link : TAARIFA YA MSIBA
TAARIFA YA MSIBA
Ndugu Ephraim Kinabo Lyaruu wa Sinon Lemara Arusha anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Engineer Isaac Hipollyte Lyaruu , kilichotokea tarehe 22/04/2019 katika hospital ya Mount Meru, Arusha .
Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwake AICC Arusha, Mazishi yatafanyika siku ya jumamosi Tarehe 27/04/2019 Shambani kwake Himo Moshi,njia panda ya Kilema ,habari ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki .
Hivyo makala TAARIFA YA MSIBA
yaani makala yote TAARIFA YA MSIBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA MSIBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/taarifa-ya-msiba.html
0 Response to "TAARIFA YA MSIBA"
Post a Comment