Loading...
title : TANESCO YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI WA MTWARA, LINDI WAKATI WA KIMBUNGA
link : TANESCO YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI WA MTWARA, LINDI WAKATI WA KIMBUNGA
TANESCO YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI WA MTWARA, LINDI WAKATI WA KIMBUNGA
Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake wa Mikoa ya Mtwara na Lindi kuchukua tahadhari kutokana na taarifa ya uwezekano wa kuwepo kwa kimbunga katika mikoa hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu inasema inawashauri wananchi kuwa mbali na miundombinu ya umeme, na iwapo kimbunga kitaambatana na mvua kutokujikinga chini ya nguzo ama transfoma ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea.
Imesema iwapo mwananchi ataona miundombinu imeathirika kwa kuanguka ama waya kukatika, ni vema akatoa taarifa TANESCO huku ikizuia kushika wala kukanyaga waya uliokatika.
Pia iwapo kimbunga kitaambatana na tadi, upepo mkali, au umeme kuwa unapungua nguvu na kuongezeka ndani ya nyumba, unashauriwa kuzima umeme kwenye Main Switch hadi hali hiyo itakapotulia.
Hivyo makala TANESCO YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI WA MTWARA, LINDI WAKATI WA KIMBUNGA
yaani makala yote TANESCO YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI WA MTWARA, LINDI WAKATI WA KIMBUNGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANESCO YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI WA MTWARA, LINDI WAKATI WA KIMBUNGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/tanesco-yatoa-tahadhari-kwa-wananchi-wa.html
0 Response to "TANESCO YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI WA MTWARA, LINDI WAKATI WA KIMBUNGA"
Post a Comment