Loading...

JINSI YA KUTENGENEZA WADUDU KWA AJILI YA CHAKULA CHA KUKU

Loading...
JINSI YA KUTENGENEZA WADUDU KWA AJILI YA CHAKULA CHA KUKU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JINSI YA KUTENGENEZA WADUDU KWA AJILI YA CHAKULA CHA KUKU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JINSI YA KUTENGENEZA WADUDU KWA AJILI YA CHAKULA CHA KUKU
link : JINSI YA KUTENGENEZA WADUDU KWA AJILI YA CHAKULA CHA KUKU

soma pia


JINSI YA KUTENGENEZA WADUDU KWA AJILI YA CHAKULA CHA KUKU

Nimekuletea jinsi ya kutengeneza mchwa na red worm kwa ajili ya kupata chakula asilia cha kuku


  1. JINSI YA KUTENGENEZA MCHWA KWA YA KUPATA PROTINI YA ZIADA.

Fuata hatua zifuatazo
  • Changanya kinyesi kikavu cha ngo'mbe na majni makavu / Mabua ya mahindi/Maranda ya mbao.
  • Mwagia maji mpaka mchanganyiko.
  • Weka kwenye chungu au boxes kisha uelekeze sehemu yenye dalili ya mchwa au kwenye kichuguu.
  • Funika kwa muda wa masaa 25 baada ya muda huwo mcha watakuwepo wengi chukua box lako kamwage kwenye Kuku. husaidia Sana ktk ukuaji.
2. KUTENGENEZA MINYOO YA CHAKULA (Red Worms planning ).

 Red worms planning ni utaratibu Wa kuzalisha minyoo kwa ajili ya kuku na Samaki, Zipo hybrid Red Worms ambazo mara nyingi hununua sample kutoka nje ya nchi Kama Kenya,China au hapa Tanzania.Fuata hatua zifuatazo kuzalisha Red worms Asilia
  • (A) Chukua mavi ya ngombe mapya au ngombe aliyechinjwa mavi ya tumboni.
  • (B) Kusanya Damu damu, ngozi, utumbo, magoroto, nyamanyama nk
  • Pakia/Weka kwenye kiloba au gunia kati ya ya choice A au B above
  • Chimba shimo la wastan kisha mwagia maji ndoo kubwa 4
  • Fukia hilo gunia na mwaga maji ndo 2 mara 1/2 kwa siku kwa muda wa siku 8/12
  • Baada Ya siku hizo kupita fukua na chepe utakuta minyoo mitupu ya kutosha kwa ajili ya Chakula cha Kuku au samaki na siku zinavyozidi kwenda ndo wanazidi kuzaliana na kuwa wakubwa






Hivyo makala JINSI YA KUTENGENEZA WADUDU KWA AJILI YA CHAKULA CHA KUKU

yaani makala yote JINSI YA KUTENGENEZA WADUDU KWA AJILI YA CHAKULA CHA KUKU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JINSI YA KUTENGENEZA WADUDU KWA AJILI YA CHAKULA CHA KUKU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/jinsi-ya-kutengeneza-wadudu-kwa-ajili.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JINSI YA KUTENGENEZA WADUDU KWA AJILI YA CHAKULA CHA KUKU"

Post a Comment

Loading...