Loading...

KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AWAOMBA WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI KUTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU KWENYE VYOMBO VYA DOLA

Loading...
KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AWAOMBA WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI KUTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU KWENYE VYOMBO VYA DOLA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AWAOMBA WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI KUTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU KWENYE VYOMBO VYA DOLA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AWAOMBA WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI KUTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU KWENYE VYOMBO VYA DOLA
link : KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AWAOMBA WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI KUTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU KWENYE VYOMBO VYA DOLA

soma pia


KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AWAOMBA WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI KUTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU KWENYE VYOMBO VYA DOLA

Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dk. Anna P. Makakala wa kwanza kutoka kushoto akikagua vichochoro vinavyotumiwa na wahamiaji haramu kuingia nchini katika kijiji cha Mugulika Kata ya Bwerenyange wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera. Kamishna Jenerali yuko mkoa wa Kagera kujionea shughuli zinazotekelezwa na Idara yake mkoani humo.
Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dk. Anna P. Makakala wa kwanza kutoka kushoto akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagera Godfrey Mheluka watatu kutoka kulia katika kijiji cha Muguluka Kata ya Bwerenyange wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera.Kamishna Jenerali huyo amefanya ziara katika Vipenyo vinavyotumiwa na wahamiaji haramu kutoka nchini nyingine kuingia Tanzania.
Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dk. Anna P. Makakala wa nne kutoka kulia akiwa katika Mkutano wa Hadhara na baadhi ya Wananchi (hawapo pichani) wa Kijiji cha Muguluka Kata ya Bwerenyange wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera.Kamishna Jenerali huyo amefanya ziara katika Vipenyo vinavyotumiwa na wahamiaji haramu kutoka nchini nyingine kuingia Tanzania.
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Muguluka Kata ya Bwerenyange wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dk. Anna P. Makakala katika Mkutano wa Hadhara baina ya wanakijiji hao na Ujumbe huo wa Idara ya Uhamiaji kutoka Makao Makuu ambapo katika Mkutano huo Dk. Makakala alitoa wito kwa wanakijiji hao kutowahifadhi wahamiaji haramu kwenye makazi yao sambamba na kuwataka kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola pale wanapogundua kuna mgeni asiyeeleweka na wanamtilia mashaka kwenye makazi yao.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).


Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AWAOMBA WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI KUTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU KWENYE VYOMBO VYA DOLA

yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AWAOMBA WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI KUTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU KWENYE VYOMBO VYA DOLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AWAOMBA WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI KUTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU KWENYE VYOMBO VYA DOLA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kamishna-jenerali-wa-uhamiaji-awaomba.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AWAOMBA WANANCHI WANAOISHI MIPAKANI KUTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU KWENYE VYOMBO VYA DOLA"

Post a Comment

Loading...