Loading...
title : WIKI YA USALAMA BARABARANI: NI ZAMU YETU ABIRIA KUPAZA SAUTI
link : WIKI YA USALAMA BARABARANI: NI ZAMU YETU ABIRIA KUPAZA SAUTI
WIKI YA USALAMA BARABARANI: NI ZAMU YETU ABIRIA KUPAZA SAUTI
Mabasi ya abiria yanayofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani yakiyapita magari yaliyombele kwenye kona na mteremko mkali barabara kuu ya Dar es Salaam- Morogoro eneo zilizopo Ofisi za Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania ( TAFORI) karibu Kingolwira mjini Morogoro asubuhi ya Oktoba 17, mwaka huu ( 2017) ikiwa ni siku mbili tu baada ya Makamu wa Rais , Samia Suluhu Hassan , kuzindua wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani kitaifa mkoani Kilimanjaro yenye kauli mbiu ‘ Zuia ajali , Tii Sheria , Okoa Maisha’ . ( Picha na John Nditi).
Hivyo makala WIKI YA USALAMA BARABARANI: NI ZAMU YETU ABIRIA KUPAZA SAUTI
yaani makala yote WIKI YA USALAMA BARABARANI: NI ZAMU YETU ABIRIA KUPAZA SAUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIKI YA USALAMA BARABARANI: NI ZAMU YETU ABIRIA KUPAZA SAUTI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wiki-ya-usalama-barabarani-ni-zamu-yetu.html
0 Response to "WIKI YA USALAMA BARABARANI: NI ZAMU YETU ABIRIA KUPAZA SAUTI"
Post a Comment