Loading...

Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma

Loading...
Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma
link : Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma

soma pia


Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma

 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu akimkabidhi Afisa Elimu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mwisungi Kigosi (wapili kulia) na Mkuu wa shule ya Msingi Mwanga, Rajabi Bakari (Kulia), moja kati ya kompyuta 30 zilizotolewa na kampuni ya Vodacom kwa shule ya Msingi Mbwanga Dodoma hivi karibuni kama mpango wa kuisaidia serikali kuboresha miundombinu ya elimu pamoja na kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu ya kidijitali kuanzia elimu ya msingi.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano Vodacom, Jacquiline Materu akitoa mkono wa shukrani na Afisa Elimu wa Wilaya  ya Dodoma Mjini Mwisungi Kigosi (katikati) na Mkuu wa shule ya Msingi Mbwanga, Rajab Bakari, kwa msaada wao, katika hafla ya kukabidhi kompyuta 30 zilizotolewa na Vodacom kwa shule ya Msingi Mbwanga Dodoma hivi karibuni kama mpango wa kuisaidia serikali kuboresha miundombinu ya elimu pamoja na kuhakisha wanafunzi wanapata elimu ya kidijitali kuanzia elimu ya msingi .


Hivyo makala Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma

yaani makala yote Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/vodacom-yatoa-msaada-wa-kompyuta-30.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vodacom yatoa msaada wa kompyuta 30 shule ya Msingi Mbwanga mjini Dodoma"

Post a Comment

Loading...