Loading...
title : AJALI YA DALADALA NA TRENI GONGOLAMBOTO ALFAJIRI YA LEO 19/04/2017
link : AJALI YA DALADALA NA TRENI GONGOLAMBOTO ALFAJIRI YA LEO 19/04/2017
AJALI YA DALADALA NA TRENI GONGOLAMBOTO ALFAJIRI YA LEO 19/04/2017
Taarifa ya Ajali ya treni na Daladala ya kutoka Gongolamboto Alfajiri leo Aprili 19, 2017 !
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea ajali ya basi la daladala (T 435 DGG ) kutoka Gongo la mboto kwenda Mnazi mmoja kuigonga treni ya Pugu leo Aprili 19, 2017 saa 11 Alfajir katika makutano ya reli na barabara ya Nkurumah jijini Dar es Salaam.
Majeruhi wa ajali ni 23 , saba wapo hospitali ya Amana na waliobakia 16 wapo Hospitali ya Taifa Muhimbili MOI watatu kati yao ni mahututi. Taarifa zaidi itatolewa kuhusu ajali hiyo.
Hata hivyo treni ya Pugu inaendelea na huduma zake kwa kufuata ratiba.
Imetolewa na Afisi ya Uhusiano kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Ndg Focus Sahani,
Dar es Salaam,
Aprili 19, 2017.

Hivyo makala AJALI YA DALADALA NA TRENI GONGOLAMBOTO ALFAJIRI YA LEO 19/04/2017
yaani makala yote AJALI YA DALADALA NA TRENI GONGOLAMBOTO ALFAJIRI YA LEO 19/04/2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AJALI YA DALADALA NA TRENI GONGOLAMBOTO ALFAJIRI YA LEO 19/04/2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/ajali-ya-daladala-na-treni-gongolamboto.html
0 Response to "AJALI YA DALADALA NA TRENI GONGOLAMBOTO ALFAJIRI YA LEO 19/04/2017"
Post a Comment