Loading...

BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA SEKONDARI YA TOLIDO

Loading...
BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA SEKONDARI YA TOLIDO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA SEKONDARI YA TOLIDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA SEKONDARI YA TOLIDO
link : BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA SEKONDARI YA TOLIDO

soma pia


BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA SEKONDARI YA TOLIDO

Mwambawahabari

Ubalozi wa Kuwait unaendelea kuiunga mkono Shule ya Sekondari ya Tolido iliyopo Tanga kwa kuipatia idara ya shule hiyo mashine ya kutoa kopi(photocopy machine) iliyopokelewa na msimamizi wa Shule Bi, Basilisa Soka.

Mashine hiyo inatarajiwa kuisaidia Shule na kurahisisha kazi za idara kwa ajili ya kuinua kiwango cha elimu.


Itakumbukwa kuwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe.Jasem Al-Najem alizindua kisima cha maji katika shule hiyo mwishoni mwa mwaka jana 2016 ambapo mradi wa ujenzi wake ulifadhiliwa na Msamaria mwema raia wa Kuwait na kutekelezwa na Asasi ya Direct Aid-ofisi ya Tanga, kisima hicho ndio cha kwanza kuzinduliwa tangu ubalozi wa Kuwait kuzindua mpango wake wa 'Kisima cha maji kwa kila Shule'.

Idadi ya visima ambavyo tayari vimezinduliwa ndani ya mpango huo vimefikia visima 27 katika shule mbalimbali katika kipindi cha miezi minne tu.

Ubalozi wa Kuwait utaendela kuisaidia Shule ya Tolido ya Sekondari mjini Tanga na shule nyingine Tanzania ili kuunga mkono mchakato wa elimu nchini.
 



Hivyo makala BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA SEKONDARI YA TOLIDO

yaani makala yote BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA SEKONDARI YA TOLIDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA SEKONDARI YA TOLIDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/balozi-wa-kuwait-nchini-mhejasem-al_26.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA SEKONDARI YA TOLIDO"

Post a Comment

Loading...