Loading...
title : CHAKUA YAITAKA SERIKALI KUANZA KUTUMIA MFUMO WA TIKETI ZA KIELECTRONIC KATIKA VITUO VYA MABASI YA MIKOANI
link : CHAKUA YAITAKA SERIKALI KUANZA KUTUMIA MFUMO WA TIKETI ZA KIELECTRONIC KATIKA VITUO VYA MABASI YA MIKOANI
CHAKUA YAITAKA SERIKALI KUANZA KUTUMIA MFUMO WA TIKETI ZA KIELECTRONIC KATIKA VITUO VYA MABASI YA MIKOANI
mwambawahabari
Chama cha kutetea Abiria Tanzania CHAKUA kimesema kimefanya utafiti kuhusu mfumo wa ukataji tiketi za mabasi yaendayo Mikoani na kubaini kuwa suruhisho pekee la kuondoa ususumbufu kwa Abiria kuibiwa na kuuziwa tiketi feki , ni kuanzia kutumia kwa mfumo wa tiketi za kielektroniki .
Chama cha kutetea Abiria Tanzania CHAKUA kimesema kimefanya utafiti kuhusu mfumo wa ukataji tiketi za mabasi yaendayo Mikoani na kubaini kuwa suruhisho pekee la kuondoa ususumbufu kwa Abiria kuibiwa na kuuziwa tiketi feki , ni kuanzia kutumia kwa mfumo wa tiketi za kielektroniki .
Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa chamahicho bw Hassan Mchanjama ameleza faida za mfumo huu kuwani pamoja na kuokoa muda kwa Abiria kwenda kununua tiketi vituo vya Mabasi hali itakayo saidia kuondoa kero ya abiria kuIwa tiket feki kuzishiwa nauli ubabaishaji ,utapeli,na wizi ulikithirikwa wapigadebe na kuirahishia TRA kukusanya kodi.
Aidha Chakua imekamata vitabu vya tiketi zinazo tumika kuwatapeli Abiria ambapo tiketi hizi huandikwa bila kuonyesha Mwisho wa safari ya Abiria na vitabubu hivyo vimekamatwa mikoa ya Mbeya na DSM , na kuongeza kuwa ofisi za chama hicho kimekuwa kikipokea malalamiko 45 hadi 50 kwa nchi mzima kwa siku kuhusu utapeli kwa Abiria .
Pamoja na hayo Mchanjama ameitaka Serikali kutosikiliza majungu kutoka kwa wamiliki wa Mabasi kwa kuwa hawananianjema namfumo huo kwa kuwa unawabana walipe kodi.
amesemakupitia mfumo huu utawasaidia wamiliki wa mabasi kupata pesa zao kwa uhakika zaidi tofauti na ilivyo sasa kwani mawakala na makalani wamekuwa wakitoloka na mauzo ya tiketi, mfumo huu utawabana.
Hata hivyo Chakua kimewaomba wamiliki wa mabasi hayo kuwaweka vijana waaminifu kwenye utoaji wa huduma bora zenye kukidhi usalama wa abiria na mali zao.
Naye katibu idara ya reli Maulid Masalu amewaomba waandishi wa habari kushirikiana kwa karibu na Chakua katika kuielemisha jamii kuhusiana na faida ya utumiaji wa njia ya kietronic ambayo itawapa ubora na usalama watumiaji wa barabara,reli kuwa yenye uhakika.
Hivyo makala CHAKUA YAITAKA SERIKALI KUANZA KUTUMIA MFUMO WA TIKETI ZA KIELECTRONIC KATIKA VITUO VYA MABASI YA MIKOANI
yaani makala yote CHAKUA YAITAKA SERIKALI KUANZA KUTUMIA MFUMO WA TIKETI ZA KIELECTRONIC KATIKA VITUO VYA MABASI YA MIKOANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CHAKUA YAITAKA SERIKALI KUANZA KUTUMIA MFUMO WA TIKETI ZA KIELECTRONIC KATIKA VITUO VYA MABASI YA MIKOANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/chakua-yaitaka-serikali-kuanza-kutumia.html
0 Response to "CHAKUA YAITAKA SERIKALI KUANZA KUTUMIA MFUMO WA TIKETI ZA KIELECTRONIC KATIKA VITUO VYA MABASI YA MIKOANI"
Post a Comment