Loading...

CHUO CHA SHENYANG CHA CHINA CHATOA UFADHILI KWA AIR TANZANIA NA NIT

Loading...
CHUO CHA SHENYANG CHA CHINA CHATOA UFADHILI KWA AIR TANZANIA NA NIT - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHUO CHA SHENYANG CHA CHINA CHATOA UFADHILI KWA AIR TANZANIA NA NIT, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHUO CHA SHENYANG CHA CHINA CHATOA UFADHILI KWA AIR TANZANIA NA NIT
link : CHUO CHA SHENYANG CHA CHINA CHATOA UFADHILI KWA AIR TANZANIA NA NIT

soma pia


CHUO CHA SHENYANG CHA CHINA CHATOA UFADHILI KWA AIR TANZANIA NA NIT

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Chuo kikuu cha shenyang kutoka nchini China kimeahidi kutoa ushirikiano na Shirika la ndege la Air  Tanzania kwa kutoa msaada wa kuwasomesha wafanyakazi wa kampuni hiyo,ili waweze kumudu ushindani wa soko la kimataifa.

Hayo yamesemwa na mwalimu wa malezi wa chuo cha Shenyang, Shi Guangda katika mkutano ulioandaliwa na Taasisi ya Global Education Link kwa wazazi ambao watoto wao wanasoma urubani na Masuala ya anga katika chuo hicho.

“Tangu Rais wetu wa China alipofika hapa tumekuwa na mahusiano makubwa na nchi hizi mbili, hivyo kwa kuanza kama chuo chetu tutatoa ufadhili kwa wafanyakazi wa shirika la ndege la Air Tanzania na kubadilishana mafunzo katika chuo cha usafirishaji cha NIT na Shenyang” Amesema Guangda .

Kwa upande wa Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege la Air Tanzania,Ladislaus Matindi ameishukuru tasisi ya Global Education Link kwa  kuwaunganisha na chuo hicho ambacho kwa sasa kimekuwa msaada mkubwa kwa kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa shirika hilo.

Matindi ametaja kuwa upatikanaji wa nafasi hiyo itasaidia kutoa motisha kwa vijana wetu ambao wanafanya kazi katika shirika hilo na wengine ambao wako nje kuwa na hamu ya kusoma masuala ya usafirishaji .

Kwa upande wake mkurugenzi wa Global Education link , AbduMalik Molell alitumia fursa hiyo kuzungumza na wazazi hao juu ya swala la bima ya wanafunzi amabo wanasoma chuo hicho katika swala zima la matibabu na majanga mengine ambayo yatawakuta wanafunzi.


Mkurugenzi wa Global Education Link, AbdulMalik Mollel akimkabidhi hati ya ufadhili wa masomo Mkurugenzi wa shirika la ndege nchini Air Tanzania,Ladislaus Matindi kwa ajili ya wafanyakazi wa shirika hilo watakotakiwa kwenda kusoma China
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege la Air Tanzania Ladislaus Matindi akizungumza na wazazi ambao watoto wao wanasoma masuala ya Anga nchini China
Mkurugenzi wa Global Education Link, AbdulMalik Mollel akifafanua jambo kuhusu masuala ya bima ya matibabu kwa wazazi ambao wamefika katika mkutano huo
Mlezi wa wanafunzi kutoka chuo Shenyang, akizungumza juu ya mazingira na ufadhili walio utoa nchini kwa shirika la ndege.



Hivyo makala CHUO CHA SHENYANG CHA CHINA CHATOA UFADHILI KWA AIR TANZANIA NA NIT

yaani makala yote CHUO CHA SHENYANG CHA CHINA CHATOA UFADHILI KWA AIR TANZANIA NA NIT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHUO CHA SHENYANG CHA CHINA CHATOA UFADHILI KWA AIR TANZANIA NA NIT mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/chuo-cha-shenyang-cha-china-chatoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHUO CHA SHENYANG CHA CHINA CHATOA UFADHILI KWA AIR TANZANIA NA NIT"

Post a Comment

Loading...