Loading...
title : DK. SHEIN AHAMASISHA UCHANGIAJI MADAWATI YA SKULI ZA SERIKALI
link : DK. SHEIN AHAMASISHA UCHANGIAJI MADAWATI YA SKULI ZA SERIKALI
DK. SHEIN AHAMASISHA UCHANGIAJI MADAWATI YA SKULI ZA SERIKALI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar kwa Viongozi mbali mbali katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi za Kitanzania Millioni Arobaini na Mbili kutoka kwa Kanishna wa ZRB Amour Hamil Bakari (katikati) wakati wa Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Serikali, katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi-Zanzibar Mnazi mmoja Mjini Unguja,(kulia) Mwenyekiti wa Kamati ya Uchangiaji Madawati na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Boro Mhe.Haroun Ali Suleiman,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia naibu Mwenyekiti wa kamati Mhe,Riziki Pembe Juma akifuatiwa na Naibu Kamishna wa ZRB Hadija Shamte,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Hivyo makala DK. SHEIN AHAMASISHA UCHANGIAJI MADAWATI YA SKULI ZA SERIKALI
yaani makala yote DK. SHEIN AHAMASISHA UCHANGIAJI MADAWATI YA SKULI ZA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK. SHEIN AHAMASISHA UCHANGIAJI MADAWATI YA SKULI ZA SERIKALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/dk-shein-ahamasisha-uchangiaji-madawati.html
0 Response to "DK. SHEIN AHAMASISHA UCHANGIAJI MADAWATI YA SKULI ZA SERIKALI"
Post a Comment