Loading...
title : ELIMU YA KUNUNUA HISA YATOLEWA KWA CHAMA CHA MUUNGANO WA VYAMA VYA USHIRIKA(SACCOS) TANZANIA
link : ELIMU YA KUNUNUA HISA YATOLEWA KWA CHAMA CHA MUUNGANO WA VYAMA VYA USHIRIKA(SACCOS) TANZANIA
ELIMU YA KUNUNUA HISA YATOLEWA KWA CHAMA CHA MUUNGANO WA VYAMA VYA USHIRIKA(SACCOS) TANZANIA
Wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania,Wakimsikiliza kwa makini mkuu wa Kitengo cha wateja wakubwa wa Orbit Security ambao ni washauri wakuu wa maswala ya uuzaji wa hisa za Vodacom Tanzania PLC,Godfrey Gabriel alipokuwa akitoa elimu juu ya ununuaji wa hisa za kampuni hiyo jana Morogoro.
Baadhi ya wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania,Wakisoma mkutasari wa matarajio wa hisa za Vodacom Tanzania PLC, Walipokuwa wakipatiwa elimu ya ununuaji hisa za kampuni hiyo na mawakala wa uwekezaji wa Orbit Security ambao ni washauri wakuu wa maswala ya hisa za Vodacom Tanzania PLC jana mkoani Morogoro.
Mkuu wa Kitengo cha wateja wakubwa wa kampuni ya uwakala wa uwezeshaji ya Orbit Security ambao ni washauri wakuu wa maswala ya uuzaji hisa za Vodacom Tanzania PLC Godfrey Gabriel (kushoto) akimsikiliza mmoja wa wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania, Gebha Nyoni aliyekuwa akiuliza swali juu ya uuzaji wa hisa za Vodacom baada ya kupata elimu ya ununuaji wa hisa wakati wa semina ya Utawala bora kwa viongozi wa SACCOS iliyofanyika mkoani Morogoro jana.
Mmoja wa washiriki wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania ,wakionyeshwa kipengele kilichopo katika mkutasari wa matarajio wa hisa za Vodacom Tanzania PLC na Mkuu wa Kitengo cha wateja wakubwa wa kampuni ya uwakala ya uwezeshaji ya Orbit Security ambao ni washauri wakuu wa maswala ya uuzaji wa hisa za Vodacom Tanzania PLC, Godfrey Gabriel (kushoto)wakati wa kutoa elimu juu ya ununuaji wa hisa za kampuni hiyo jana Morogoro.
Baadhi ya wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania ,wakisoma fomu za kununua hisa za Vodacom Tanzania PLC ,wakati walipokuwa wakipewa elimu juu ya ununuaji wa hisa za kampuni hiyo na mawakala wa kampuni ya uwekezaji ya Orbit Security ambao ni washauri wakuu wa kampuni hiyo maswala ya hisa .
Mkurugenzi wa uendeshaji wa kampuni ya uwakala ya uwekezaji ya Orbit Security ambao ni washauri wakuu wa Vodacom Tanzania PLC kuhusiana na maswala ya uuzaji hisa,Juventus Simon akiwaelekeza wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania jinsi ya kujaza fomu za kununua hisa za Vodacom wakati wa semina maalum ya kununua hisa za kampuni hiyo iliyofanyika jana Morogoro.
Hivyo makala ELIMU YA KUNUNUA HISA YATOLEWA KWA CHAMA CHA MUUNGANO WA VYAMA VYA USHIRIKA(SACCOS) TANZANIA
yaani makala yote ELIMU YA KUNUNUA HISA YATOLEWA KWA CHAMA CHA MUUNGANO WA VYAMA VYA USHIRIKA(SACCOS) TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ELIMU YA KUNUNUA HISA YATOLEWA KWA CHAMA CHA MUUNGANO WA VYAMA VYA USHIRIKA(SACCOS) TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/elimu-ya-kununua-hisa-yatolewa-kwa.html
0 Response to "ELIMU YA KUNUNUA HISA YATOLEWA KWA CHAMA CHA MUUNGANO WA VYAMA VYA USHIRIKA(SACCOS) TANZANIA"
Post a Comment