Loading...
title : Hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,
link : Hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,
Hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma alipowasiki katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali,Walimu wakuu wa Skuli mbali mbali za Sekondari pamoja na Wanafunzi wakiwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi
katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017.Baadhi ya Viongozi wa Serikali,Walimu wakuu wa Skuli mbali mbali za Sekondari pamoja na Wanafunzi wakiwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi
katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017.
Baadhi ya
Wanafunzi wa Skuli za Sekondari
za Serikali
wakiwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi
katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017
Baadhi ya
Walimu Wakuu wa Skuli za Sekondari
za Serikali na Walimu wa Michezo
wakiwa
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe, Mohamed Raza Daramsi
katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) aki
pokea Vifaa vya Michezo
kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe, Mohamed Raza Daramsi
ambavyo vitakabidhiwa kwa Uiongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali na kutumika katika mashindano mbali mbali ya wanafunzi wa Skuli za Sekondari, katika
hafla iliyofanyika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
,
[Picha na Ikulu.] 25/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) aki
pokea Kikombe cha mashindano ya Michezo ya Skuli za Sekondari kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika
hafla iliyofanyika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja
,
[Picha na Ikulu.] 25/04/2017Baadhi ya
Wanafunzi wa Skuli za Sekondari
za Serikali
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati
wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi
katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017
.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Walimu Wakuu pamoja na Wanafunzi wakati
wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi
katika kumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017

Hivyo makala Hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,
yaani makala yote Hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/hafla-ya-kukabidhi-vifaa-vya-michezo.html
0 Response to "Hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,"
Post a Comment