Loading...
title : JARIDA LA WIZARA YA ARDHI , NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TOLEO NAMBA 8
link : JARIDA LA WIZARA YA ARDHI , NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TOLEO NAMBA 8
JARIDA LA WIZARA YA ARDHI , NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TOLEO NAMBA 8
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa jarida lake la mwaka (Toleo Na. 8). Jarida hili haliuzwi. Kuna nakala chache ambazo zinapatikana Wizarani katika Kitengo cha huduma kwa mteja. Aidha, kutakuwa na nakala nyingine chache ambazo zitasambazwa katika maeneo mbalimbali kama; Wizarani na katika Ofisi za Halmashauri nchini.
Jarida hili litapatikana pia hivi karibuni kwenye tovuti ya Wizara (www.ardhi.go.tz).
Mwananchi pata nakala yako upate kuhabarika kuhusu shughuli na matukio mbalimbali ya Wizara.
Hivyo makala JARIDA LA WIZARA YA ARDHI , NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TOLEO NAMBA 8
yaani makala yote JARIDA LA WIZARA YA ARDHI , NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TOLEO NAMBA 8 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JARIDA LA WIZARA YA ARDHI , NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TOLEO NAMBA 8 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/jarida-la-wizara-ya-ardhi-nyumba-na_30.html
0 Response to "JARIDA LA WIZARA YA ARDHI , NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TOLEO NAMBA 8"
Post a Comment