Loading...

Jerry Muro: “TFF wanatugawa ili watutawale”

Loading...
Jerry Muro: “TFF wanatugawa ili watutawale” - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jerry Muro: “TFF wanatugawa ili watutawale”, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jerry Muro: “TFF wanatugawa ili watutawale”
link : Jerry Muro: “TFF wanatugawa ili watutawale”

soma pia


Jerry Muro: “TFF wanatugawa ili watutawale”


Afisa Habari wa zamani wa Yanga Jerry Muro amedai kuwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF linawagawa mashabiki wa mchezo huo nchini ili liwatawale.

Muro amesema kuwa kitendo cha TFF kumfungia yeye pamoja na Afisa Habari wa Simba Haji S. Manara ni kwa sababu Shirikisho hilo linajaribu kuwagawa wapenda mpira Tanzania ili liwatawale vizuri.

Akizungumza kwenye Clouds 360 ya Clouds TV April 29, 2017 Muro ameweka wazi kuwa atarudi katika nafasi yake katika klabu ya Yanga mara tu atakapomaliza adhabu yake, akisema: “Yah! Mimi ni mwanachama wa Yanga tangu nikiwa mdogo. Nilipokuwa Yanga, nilikuwa nafanya kazi zangu kama kawaida na Yanga siondoki. Akili ndogo inapokuambia kaa pembeni, unakaa pembeni kwa sababu akili kubwa haiwezi kupambana na akili ndogo.

“Nilipofungiwa mimi, niliwaambiwa mashabiki tupambane nisifungiwe hawa watu wanatugawanya. Leo wananifungia mimi, kesho watamfungia Manara. Marana amefungiwa, wametugawanya na wanatutawala. Ndio maana nasema, tusikubali akili ndogo kuongoza akili kubwa.

“Unaponiondoa mimi na Haji kwenye mpira, mbadala ni nani? Sisi tumeingia kwenye mpira, mpira ulikuwa umepooza. Tumepandisha morari kwenye mpira, tumeinua hamasa. Zile nafasi zipo kwa ajili yetu ndio maana tangu nimeondoka Yanga, nani amevaa viatu vyangu?” – Jerry Muro.


Hivyo makala Jerry Muro: “TFF wanatugawa ili watutawale”

yaani makala yote Jerry Muro: “TFF wanatugawa ili watutawale” Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jerry Muro: “TFF wanatugawa ili watutawale” mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/jerry-muro-tff-wanatugawa-ili-watutawale.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Jerry Muro: “TFF wanatugawa ili watutawale”"

Post a Comment

Loading...