Loading...

KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF

Loading...
KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF
link : KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF

soma pia


KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF

Mwambawahabari
Na Zainab Nyamka
KLABU ya Soka ya Kagera imeaiandikia barua Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kulalamikia maamuzi yaliyotolewa na kamati ya saa 72 kwa kuipatia pointi tatu timu ya Simba ikidaiwa wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano.

Braua hiyo iliyopelekwa moja kwa moja kwa Mtendaji Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa imeandikwa na Mwenyekiti wa klabu hiyo  Hamis Mdaki na kuelekeza malalamiko yao ya kutokubaliana na maamuzi ya kamati ya saa 72.


Hukumu ya kuipatia Simba alama hizo ilitoka jana usiku naada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Mohamed Yahya  alitoa maamuzii hayo mbele ya waandishi wa habari na kusema kuwa kamati imethibitisha kuwa Mchezaji Mohamed Fakhi alikuwa na kadi tatu za njano alizozipata katika michezo dhidi ya Prisons, Majimaji na African Lyon.

Hukumu hiyo imeonekana kutokukubalika kwani kamati ilishindwa kupitia ripoti za waamuzi baada ya kuonekana kutofautiana baina ya mwamuzi na kamisaa wa mchezo na kuamua kuwaita waamuzi waje kuthibitisha kama ni kweli Fakhi alipewa kadi ya njano.

Kagera wamemtaka katibu mkuu kuiangalia upya hukumu hiyo kwani wana uhakika kuwa Fakhi alikuwa na kadi mbili za njano na sio tatu kama wanazodai Simba. Katika mchezo huo wa Kagera walifanikiwa kutoka na ushindi wa goli 2-1 dhid ya Simba uliochezwa kwenye dimba la Uwanja wa Kaitaba Mkoani Kagera.

Baaada ya maamuzi hayo Simba wamejikita kileleni zaidi wakiwa na alama 61 wakifuatiwa na Yanga wenye alama 56


 
 


Hivyo makala KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF

yaani makala yote KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/kagera-wazitaka-pointi-zao-zirudishwe_15.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF"

Post a Comment

Loading...