Loading...
title : Kumbu kumbu ya Misa ya Marehemu Mwl. Dionis Ndege
link : Kumbu kumbu ya Misa ya Marehemu Mwl. Dionis Ndege
Kumbu kumbu ya Misa ya Marehemu Mwl. Dionis Ndege
Umetimiza miaka 10 na siku 14 toka mwenyezi mungu alipokuchukua katika hospitali ya regency dsm tarehe 05/04/2007 siku ya alhamisi kuu.
Unakumbukwa sana na mkeo mama Helena D. Ndege, wanao: Esaka D. N. Mugasa, James, Lawi, Anna, Mary, Lucy, Catherine, Tabu, Vicent, Joseph, Mwavisu, wanao wengine wote, Wajukuu, Vitukuu, ndugu, Jamaa, marafiki, wanafunzi wako, waalimu wenzio na majirani.
Unakumbukwa pia kwa mchango wako mkubwa wa elimu hapa nchini toka ulipofungua shule ya msingi sirari mwaka 1954 ukiwa mwl. mkuu, na baadaye kufundisha katika shule za utegi, abainano, marasibora na wanyere. sisi tulikupenda sana lakini mungu alikupenda zaidi.
Jina la Bwana lihimidiwe. Amen.
Misa ya kumwombea marehemu imefanyika leo tarehe 18/04/2017 saa 4.00 asubuhi nyumbani kwake shinyanga mjini - mtaa wa lubaga.
Hivyo makala Kumbu kumbu ya Misa ya Marehemu Mwl. Dionis Ndege
yaani makala yote Kumbu kumbu ya Misa ya Marehemu Mwl. Dionis Ndege Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kumbu kumbu ya Misa ya Marehemu Mwl. Dionis Ndege mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/kumbu-kumbu-ya-misa-ya-marehemu-mwl.html
0 Response to "Kumbu kumbu ya Misa ya Marehemu Mwl. Dionis Ndege"
Post a Comment