Loading...
title : MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI KILIMANJARO JIONI HII
link : MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI KILIMANJARO JIONI HII
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI KILIMANJARO JIONI HII
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa huo Bw. Said Meck Sadik Tayari kuhudhuria sherehe za wafanyakazi duniani Mei Mosi zitakazofanyika Kitaifa mkoani Kilimanjaro
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Kilimanjaro wakati alipowasili mkoani humo.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI KILIMANJARO JIONI HII
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI KILIMANJARO JIONI HII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI KILIMANJARO JIONI HII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/makamu-wa-rais-mama-samia-suluhu-hassan_30.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI KILIMANJARO JIONI HII"
Post a Comment