Loading...
title : MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO
link : MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Said Meck Sadik pamoja na viongozi wengine wa Serikali pamoja na Chama Cha Mapinduzi katika uwanja wa ndege wa KIA. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).Makamu wa Rais atahudhuria sherehe za wafanya kazi Mei Mosi zitakazofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/makamu-wa-rais-mhe-samia-awasili-mkoani.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO"
Post a Comment