Loading...

MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA.

Loading...
MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA.
link : MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA.

soma pia


MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA.


Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo amewaongoza wakazi wa manispaa ya Singida katika kuadhimisha miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kufanya usafi katika sehemu mbalimbali za mji wa Singida. 

Akizungumza baada ya kumalizika kwa zoezi la usafi, Tarimo amesema Watanzania wakiwemo wa wilaya ya Singida wanapaswa kuuenzi Muungano huu kwa kushiriki kikamilifu maadhimisho yake. 

Amesema bila Muungano huu ulioasisiwa na viongozi wetu hayati mwalimu Nyerere na mzee Abeid Karume, Tanzania ya leo isingekuwepo. 

“Maadhimisho haya sasa yameboreshwa kwa maana yanaweza kufanyika kwa kufanya usafi kama tulivyofanya sisi leo au kwa mazoezi ya mwili. Niwasihi tu Watanzania wenzangu kuyathamini maadhimisho haya na kushiriki bila kukosa kila mwaka”, amesema. 

Naye Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Bravo Lyampembile amesema wananchi wa manispaa hiyo wamejitokeza kwa wingi na kushiriki vema kuadhimisha siku kuu ya Mungano. 

“Ofisi yangu nayo imeshiriki watumishi wote ambao kwa siku ya leo afya zao ziko vizuri, wamejitokeza na kufanya usafi kama njia ya kuadhimisha siku kuu ya Muungano”, amesema Bravo.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo (mwenye kofia nyeupe) akiongoza wakazi wa Manispaa ya Singida kuadhimisha miaka 53 ya Muungano kwa kufanya usafi sehemu mbalimbali za mji wa Singida jana. Mwenye gloves nyekundu ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Bravo Kizito Lyampembile. 
Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo (mwenye kofia nyeupe) akihimiza Watanzania kujenga utamaduni wa kushiriki maadhimisho ya Muungano wa Tanzania ili kuuenzi. Mwenye gloves nyekundu ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Bravo Kizito Lyampembile. 



Hivyo makala MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA.

yaani makala yote MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/manispaa-ya-singida-waadhimisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MANISPAA YA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA."

Post a Comment

Loading...