Loading...
title : Marekani: Hatuna Muda wa Ziada wa Kuvumilia Vitisho vya Korea Kaskazini
link : Marekani: Hatuna Muda wa Ziada wa Kuvumilia Vitisho vya Korea Kaskazini
Marekani: Hatuna Muda wa Ziada wa Kuvumilia Vitisho vya Korea Kaskazini
Mshauri wa Rais Donald Trump wa masuala ya usalama, Herbert Raymond McMaster amesema kuwa Marekani na China zinaelekea kupoteza uvumilivu dhidi ya Korea Kaskazini inayoendelea na vitisho vya silaha za Nyuklia.
McMaster amesema makubaliano yanayojitokeza dhidi ya tabia ya vitisho vya Korea Kaskazini kwa sasa yanaijumuisha China.
Amesema kuwa kuna makubaliano ya kimataifa, ikiwemo China kuhakikisha tabia hii haiendelei, kwani kumekuwa na majaribio ya makombora ya hivi karibuni yanayoonyesha tabia ya vitisho ya Korea Kaskazini hali ambayo hawataivumilia zaidi.
Amesema kuwa Rais Trump ameweka wazi kuwa Marekani na washirika wake hawatokubali kuona utawala wa vitisho dhidi ya silaha za nyuklia.
Korea Kaskazini imefanya jaribio la uzinduzi wa makombora ya masafa ya mbali, hata hivyo lilikwama, ambapo Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence amefika Korea Kusini saa chache baada ya jaribio hilo.
Akizungumza katika kambi ya jeshi, Pence amesema anawahakikishia kuwa chini ya uongozi wa Rais Trump ushirika wa Marekani Korea Kusini haujawahi kuwa na nguvu lakini kwa msaada wa jeshi hilo na Mungu uhuru utaendelea kuimarika katika rasi ya Korea bila vitisho vyovyote
Hivyo makala Marekani: Hatuna Muda wa Ziada wa Kuvumilia Vitisho vya Korea Kaskazini
yaani makala yote Marekani: Hatuna Muda wa Ziada wa Kuvumilia Vitisho vya Korea Kaskazini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Marekani: Hatuna Muda wa Ziada wa Kuvumilia Vitisho vya Korea Kaskazini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/marekani-hatuna-muda-wa-ziada-wa.html
0 Response to "Marekani: Hatuna Muda wa Ziada wa Kuvumilia Vitisho vya Korea Kaskazini"
Post a Comment