Loading...
title : MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA KUKIPIGA DUBAI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO
link : MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA KUKIPIGA DUBAI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO
MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA KUKIPIGA DUBAI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO
Assalam aleykum ndugu Watanzania wote muishio UAE.
Naomba kuwalika wote kwenye shughuli yetu ya kusherekea sikukuu ya Muungano itakayo fanyika pale Al Ahly club mjini Dubai siku ya Jumamosi tarehe: 29/04/2017 saa mbili unusu (8:30pm).
Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi na pia Bi Samira Diria Balozi mdogo kutoka ubalozini Abu Dhabi atakuwepo. Kwenye sherehe hizo tutacheza friendly match ya Simba vs Yanga wa Dubai. Pamoja na hayo kutakuwa na chakula, BBQ na kadhalika. KARIBUNI WOTE
- MRATIBU MKUU
Yanga ya Dubai
Simba ya Dubai
Wachezaji wa Simba ya Dubai
Hivyo makala MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA KUKIPIGA DUBAI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO
yaani makala yote MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA KUKIPIGA DUBAI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA KUKIPIGA DUBAI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/mashabiki-wa-yanga-na-simba-kukipiga.html
0 Response to "MASHABIKI WA YANGA NA SIMBA KUKIPIGA DUBAI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO"
Post a Comment