Loading...

Michezo : Bodyline & Fitness Kufanya Tamasha la Michezo Leo

Loading...
Michezo : Bodyline & Fitness Kufanya Tamasha la Michezo Leo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Michezo : Bodyline & Fitness Kufanya Tamasha la Michezo Leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Michezo : Bodyline & Fitness Kufanya Tamasha la Michezo Leo
link : Michezo : Bodyline & Fitness Kufanya Tamasha la Michezo Leo

soma pia


Michezo : Bodyline & Fitness Kufanya Tamasha la Michezo Leo








Mkurugenzi wa kituo cha mazoezi ya Bodyline Health &Fitness, Abbas Jaffer Ali (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati akitangaza tamasha la michezo linalotarajiwa kufanyika Aprili 22, 2017 Mayfair jijini Dar es Salaam. Pembeni ni Katibu Mkuu - Shirikisho la Watunisha Misuli Tanzania, Francis Mapugilo (kulia) na mwalimu wa mazoezi.




Kituo cha mazoezi cha Bodyline Health& Fitness kimeandaa tamasha la mazoezi litakalofanyika kesho jumamosi Mayfair Msasani jijini Dar es Salaam.



Akizungumza mkurugenzi wa Bodyline Health& Fitness, Abbas Jaffer Ali alisema kuwa lengo la tamasha hilo ni kuwajenga watanzania wapende kufanya mazoezi ili kuimalisha afya zao.



Aliongeza kuwa katika tamasha hilo kutakuwa na michezo mbali mbali ikiwemo shindano la kutunisha mishuli, kuogelea na viungo vya mwili.




Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano.




Katibu Mkuu - Shirikisho la Watunisha Misuli Tanzania, Francis Mapugilo (katikati) akisisitiza watzania kujitokeza kwa wingi kushiriki mazoezi.






Baadhi ya washiriki wa mchezo wa kutunisha misuli wakionyesha umahili wao.







Hivyo makala Michezo : Bodyline & Fitness Kufanya Tamasha la Michezo Leo

yaani makala yote Michezo : Bodyline & Fitness Kufanya Tamasha la Michezo Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Michezo : Bodyline & Fitness Kufanya Tamasha la Michezo Leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/michezo-bodyline-fitness-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Michezo : Bodyline & Fitness Kufanya Tamasha la Michezo Leo"

Post a Comment

Loading...