Loading...
title : MICHUZI TV: WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO KUHUSU MMONYOKO WA MAADILI, AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUHIMIZA NIDHAMU KWA WAUMINI WAO
link : MICHUZI TV: WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO KUHUSU MMONYOKO WA MAADILI, AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUHIMIZA NIDHAMU KWA WAUMINI WAO
MICHUZI TV: WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO KUHUSU MMONYOKO WA MAADILI, AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUHIMIZA NIDHAMU KWA WAUMINI WAO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Kongamano kuhusu Mmonyoko wa Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius, kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya, Nchini, Rogers Siyanga akizungumza katika Kongamano kuhusu Mmonyoko wa Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na kufunguliwa na Waziri Mkuu, kassim Majliwa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius, kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24, 2017.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Alhaji Abubakary Zuberi akizungumza katika Kongamano kuhusu Mmonyoko wa Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na kufunguliwa na Waziri Mkuu, kassim Majliwa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius, kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24, 2017.
Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo akizungumza katika Kongamano kuhusu Mmonyoko wa Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na kufunguliwa na Waziri Mkuu, kassim Majliwa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius, kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya, Nchini, Rogers Siyanga baada ya Kongamano kuhusu Mmonyoko wa Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), na kufanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius, kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Alhaji Abubakary Zuberi baada ya Kongamano kuhusu Mmonyoko wa Maadili lililoandaliwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), na kufanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius, kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 24, 2017.
Hivyo makala MICHUZI TV: WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO KUHUSU MMONYOKO WA MAADILI, AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUHIMIZA NIDHAMU KWA WAUMINI WAO
yaani makala yote MICHUZI TV: WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO KUHUSU MMONYOKO WA MAADILI, AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUHIMIZA NIDHAMU KWA WAUMINI WAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MICHUZI TV: WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO KUHUSU MMONYOKO WA MAADILI, AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUHIMIZA NIDHAMU KWA WAUMINI WAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/michuzi-tv-waziri-mkuu-afungua.html
0 Response to "MICHUZI TV: WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO KUHUSU MMONYOKO WA MAADILI, AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUHIMIZA NIDHAMU KWA WAUMINI WAO"
Post a Comment