Loading...
title : Mother & Child Gala kufanyika April 22, 2017
link : Mother & Child Gala kufanyika April 22, 2017
Mother & Child Gala kufanyika April 22, 2017
Mother & Child Gala inatarajiwa kufanyika April 22, 2017 pale katika ukumbi wa Danken House Mikocheni. Ni Kwa ajili ya Wamama, mama wadogo, Shangazi, walezi Na watoto wa miaka 8-12 wa kike Na wa kiume. Watoto wakianza kupevuka wanapata mabadiliko mbali mbali physically and mentally Na kupitia stage mbali mbali Za mabadiliko hayo. Je Kama mama umesha ongea Na mwanao kuhusu mabadiliko hayo? Je umemtayarishaje mtoto wako kupitia kipindi hiki? Changamoto gani mtoto anazipata kipindi hiki huko shuleni, Kwa marafiki, Kwa familia Na Kwa jamii Kwa ujumla? Vunja ukimya ongea Na mwanao.
Hivyo makala Mother & Child Gala kufanyika April 22, 2017
yaani makala yote Mother & Child Gala kufanyika April 22, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mother & Child Gala kufanyika April 22, 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/mother-child-gala-kufanyika-april-22.html
0 Response to "Mother & Child Gala kufanyika April 22, 2017"
Post a Comment