Loading...
title : Msaada tutani: Mtoto Arkam Salim Mbarouk amepotea, familia inamtafuta
link : Msaada tutani: Mtoto Arkam Salim Mbarouk amepotea, familia inamtafuta
Msaada tutani: Mtoto Arkam Salim Mbarouk amepotea, familia inamtafuta
Asalaamu alaykum.
Mtoto wetu Arkam Salim Mbarouk (anayeonekana kwenye picha) mwenye umri wa miaka 12 amepotea tokea tarehe 19 April, 2017 mida ya jioni (alaasiri) wakati anakwenda madrasa (maeneo ya Makongo Juu) na hajaonekana mpaka sasa.
Mara ya mwisho alivaa kanzu ya msikitini rangi ya kijivu na pensi nyekundu. Tafadhali tunaomba utakapomuona popote au kupata taarifa zake uwasiliane nasi kwa namba hizi zifuatazo 0782412840
AU 0659296329
AU 0713251344,
Hivyo makala Msaada tutani: Mtoto Arkam Salim Mbarouk amepotea, familia inamtafuta
yaani makala yote Msaada tutani: Mtoto Arkam Salim Mbarouk amepotea, familia inamtafuta Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Msaada tutani: Mtoto Arkam Salim Mbarouk amepotea, familia inamtafuta mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/msaada-tutani-mtoto-arkam-salim-mbarouk.html
0 Response to "Msaada tutani: Mtoto Arkam Salim Mbarouk amepotea, familia inamtafuta"
Post a Comment