Loading...
title : MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
link : MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
Mtoto Arkam Salim Mbarouk (anayeonekana kwenye picha) mwenye umri wa miaka 12 amepotea tokea tarehe 19 April, 2017 mida ya jioni (alasiri) wakati anakwenda madrasa (maeneo ya Makongo Juu) na hajaonekana mpaka sasa.
Mara ya mwisho alivaa kanzu ya msikitini rangi ya kijivu na pensi nyekundu. Tafadhali tunaomba utakapomuona popote au kupata taarifa zake uwasiliane nasi kwa namba hizi zifuatazo
0782412840 AU 0659296329 AU 0713251344,
0718237250 AU 0713484838 AU 0655188918 AU 0658023243 AU 0713483436 AU 0784675774.
TAFADHALI TUNAOMBA SAMBAZA UJUMBE HUU KWENYE MAGROUP MENGINE KADRI IWEZEKANAVYO.
Hivyo makala MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
yaani makala yote MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/mtoto-akram-mbarouk-amepotea-anatafutwa.html
0 Response to "MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE"
Post a Comment