Loading...
title : Ngoma Africa band watua kwa Wayahudi kutumbuiza sherehe za uhuru wa israel
link : Ngoma Africa band watua kwa Wayahudi kutumbuiza sherehe za uhuru wa israel
Ngoma Africa band watua kwa Wayahudi kutumbuiza sherehe za uhuru wa israel
Habari nyeti zimevuja sasa hivi kuwa Ngoma Africa band aka FFU UGHAIBUNI bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya yenye makao kule nchini Ujerumani inatua nchini Israel kutumbuiza katika onyesho maalum la siku ya uhuru wa nchi hiyo ijulikanayo kama Yom Haatzmaut siku ya tarehe 1 mpaka 2 Mei 2017 mjini Tel Aviv.
Mmoja ya wanaitifaki wa maonyesho hayo Bi.Shimone amesema bendi hiyo ndio ya kwanza ya Kiafrika kupata mwaliko wa kutumbuiza katika maonyesho hayo lakini hakutaka kuelezea zaidi.
Habari zaidi za uhakika zimevuja kuwa bendi hiyo imesafiri kimya kimya kutoka Ujerumani kuelekeahuko Uyahudini kwa ajili ya onyesho hilo. Kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Ebrahim Makunja amethibitisha mwaliko huo wa kihistoria na kuiambia Globu ya Jamii kwamba wao hivi sasa wako Tel Aviv wakingoja kumwaga lazi.
Kiongozi wa The Ngoma Africa Band wana FFU UGHAIBUNI akiongoza gwaride kujiandaa na libeneke la Israel
Nyomi ya The Ngoma Africa Band wana FFU UGHAIBUNI katika moja ya maonesho yao
Kikosi kazi cha The Ngoma Africa Band wana FFU UGHAIBUNI
Hivyo makala Ngoma Africa band watua kwa Wayahudi kutumbuiza sherehe za uhuru wa israel
yaani makala yote Ngoma Africa band watua kwa Wayahudi kutumbuiza sherehe za uhuru wa israel Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ngoma Africa band watua kwa Wayahudi kutumbuiza sherehe za uhuru wa israel mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/ngoma-africa-band-watua-kwa-wayahudi.html
0 Response to "Ngoma Africa band watua kwa Wayahudi kutumbuiza sherehe za uhuru wa israel"
Post a Comment