Loading...
title : NMB washiriki kampeni kuhamasisha vijana uelewa masuala ya fedha
link : NMB washiriki kampeni kuhamasisha vijana uelewa masuala ya fedha
NMB washiriki kampeni kuhamasisha vijana uelewa masuala ya fedha
Meneja Mwandamizi Kitengo cha Amana, Bima na Huduma za ziada wa Benki ya NMB, Bw. Stephen Adili (kushoto) akitoa maelezo namna benki hiyo inavyowakumbuka vijana katika bidhaa zao mbalimbali kwa wageni waalikwa, Mkurungenzi Mkuu wa UN CDF Tanzania, Peter Malika (wa kwanza kulia) na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kulia) walipotembelea banda hilo kwenye uzinduzi wa mjadala kujadili changamoto mbalimbali na kuhamasisha vijana nchini kupata uelewa wa masuala ya fedha. Mkurungenzi Mkuu wa UN CDF Tanzania, Peter Malika (kushoto) akimkabidhi Meneja Mwandamizi Kitengo cha Amana, Bima na Huduma za ziada wa Benki ya NMB, Bw. Stephen Adili (kulia) cheti kilichotolewa na UN-CDF Tanzania, kwa NMB kwenye kampeni kuwahamasisha vijana kupata uelewa wa masuala ya fedha wakiwa ndani ya banda la Benki ya NMB kujua huduma anuai zinazotolewa na benki hiyo na kuwagusa vijana. NMB imeshiriki kufanikisha kampeni hizo. Baadhi ya wageni waalikwa katika kongamano la kampeni zilizowakutanisha vijana kujadili changamoto mbalimbali, wakipokea vipeperushi ndani ya banda la NMB kwenye kongamano hilo.
Hivyo makala NMB washiriki kampeni kuhamasisha vijana uelewa masuala ya fedha
yaani makala yote NMB washiriki kampeni kuhamasisha vijana uelewa masuala ya fedha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NMB washiriki kampeni kuhamasisha vijana uelewa masuala ya fedha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/nmb-washiriki-kampeni-kuhamasisha.html
0 Response to "NMB washiriki kampeni kuhamasisha vijana uelewa masuala ya fedha"
Post a Comment