Loading...

PICHA WAZIRIMKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA

Loading...
PICHA WAZIRIMKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PICHA WAZIRIMKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PICHA WAZIRIMKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA
link : PICHA WAZIRIMKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA

soma pia


PICHA WAZIRIMKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA

mwambawahabari
Displaying PMO_4523.JPG

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa  Chama cha CUF kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 27, 2017. Kutoka kulia ni Riziki Mngwali wa Viti Maalum,  Saed Kubenea wa Ubungo, Juma Kombo Hamad wa Wingwi, Abdaallah Mtolea wa Temeke  na  Haji Khatib Said wa Konde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Displaying PMO_4492.JPG

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) wakifurahia kuona medali ya dhahabu aliyoivaa Mwanaridha Alphonce Simbu  ambayo aliinyakuwa katika  mashindano ya Mumbai  Marathon nchini India na tuzo aliyoipata hivi karibuni baada ya kushika nafasi ya tano katika mashindano ya London Marathon. Waziri Mkuu alikutana na mwanariaha huyo kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Displaying PMO_4510.JPG

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kahama mjini , Jumanne Kishimba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




Hivyo makala PICHA WAZIRIMKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA

yaani makala yote PICHA WAZIRIMKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PICHA WAZIRIMKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/picha-wazirimkuu-akisalimiana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PICHA WAZIRIMKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...