Loading...

POINTI TATU KATI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA SC YAENDELEA KUVURUGA TASWIRI YA MPIRA TANZANIA BARA

Loading...
POINTI TATU KATI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA SC YAENDELEA KUVURUGA TASWIRI YA MPIRA TANZANIA BARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POINTI TATU KATI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA SC YAENDELEA KUVURUGA TASWIRI YA MPIRA TANZANIA BARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POINTI TATU KATI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA SC YAENDELEA KUVURUGA TASWIRI YA MPIRA TANZANIA BARA
link : POINTI TATU KATI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA SC YAENDELEA KUVURUGA TASWIRI YA MPIRA TANZANIA BARA

soma pia


POINTI TATU KATI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA SC YAENDELEA KUVURUGA TASWIRI YA MPIRA TANZANIA BARA

Na: Patrick John

Ukitazama kinachoendelea katika ligi ya Tanzania Bara ni zaidi ya vichekesho vya joti au mzee Majuto .Takribani wiki mbili sasa uwanda wa kimichezo hapa nchini ulitawaliwa na sual rufaa ya Simba dhidi ya mchezaji wa kagera sugar Mohammed Fakhi .Kwa mujibu wa  kamati ya masaa 72 walidai kujiridhisha na rufaa ile na kuwapatia Simba pointi  tatu na magoli 3 jambo ambalo kwanza liliifanya ligi yetu kuonesha ni namna gani inaendeshwa kiajabu ajabu ,baadae kamati ya nidhamu na hadhi za wachezaji nao  wakapokea rufaa ya kagera dhidi ya kitendo cha kinyang'anywa pointi zao walizozitolea jasho uwanjani takriban kwa zaidi ya Masaa kumi kamati walikaa katika hotei ya proteria na Leo hii wametoa majibu ya kile  walichokijadili na kwa hali  ya kushangaza majibu yanaonesha kuwa Simba walichelewa kukata rufaa na kulipia ada .Niweke wazi kuwa majibu haya yanatia shaka uhalala wa  mashauri yaliyofanywa na kamati ya Massa 72 iliyowapa pointi Simba kwamba je? Hii kamati haikuwa inajua juu ya suala la Simba kuchelewa kukata rufaa?  Haikuwa inafahamu kuwa Simba hawajlipia rufaa yao ? Vipi maamuzi hayaoneshi kuisimamisha kamati hii ambayo imetoa pointi bila kupima uhalali wa  rufaa ya Simba .kinachoendelea kutatiza hapa ni je vipi kamati ya nidhamu imeshindwa kuthibitisha kuwa Fakhi alikuwa na kadi tatu za njano ama hakupata kwa kufanya hivyo kamati hizi zimeonesha kubebana zimeonesha kutojali masuala ya haki michezoni zimeendelea kuthibitisha ubovu wa  maamuzi ya kamati zilizochini ya Tff inayoongozwa na Rais wake Jamal Malinzi na katibu wake Celestine Mwesigwa .Mimi nashauri kamati hizi mbili kwanza zichunguzwe kwa kuwa zinatia walakini katika maamuzi yao hasa  hii ya saa 72 iliyotoa pointi kiajabu ajabu na hii nyigine kwa kutumia gharama nyingi na kuja na majibu marahisi mno pili kamati hizi zichukuliwe hatua ikiwezekana vingozi wake wajiuzulu kwa kushindwa kulitendea haki soka letu maamuzi kama haya si salama kwa soka letu kwani yanaacha sintofahamu kwa familia ya wanamichezo .



Hivyo makala POINTI TATU KATI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA SC YAENDELEA KUVURUGA TASWIRI YA MPIRA TANZANIA BARA

yaani makala yote POINTI TATU KATI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA SC YAENDELEA KUVURUGA TASWIRI YA MPIRA TANZANIA BARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POINTI TATU KATI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA SC YAENDELEA KUVURUGA TASWIRI YA MPIRA TANZANIA BARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/pointi-tatu-kati-ya-kagera-sugar-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POINTI TATU KATI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA SC YAENDELEA KUVURUGA TASWIRI YA MPIRA TANZANIA BARA"

Post a Comment

Loading...