Loading...
title : Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
link : Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati Mhe.Haroun Ali Suleiman wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Elimu Bila Malipo Mhe.Riziki Pembe Juma pia Makamo pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.

Baadhi ya watendaji wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Baadhi ya Naibu Katibu Wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa hamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Wajumbe wa Sekretari ya Kamati Maalum ya Uchangiaji wa Madawati wakiwa tayari kunukuu kila mchango uliotolewa wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Wakuu wa Mikoa na Viongozi wengine mbali mbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati wa Uchangiaji wa Madawati iliyoteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakimsikiliza Rais alipokuwa akifanya uzinduzi na uhamasishaji huo uliofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Hivyo makala Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar
yaani makala yote Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/rais-dk-shein-mgeni-rasmi-katika.html
0 Response to "Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar"
Post a Comment