Loading...

RAIS MAGUFULI ASISITIZA KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZETU ZOTE

Loading...
RAIS MAGUFULI ASISITIZA KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZETU ZOTE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI ASISITIZA KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZETU ZOTE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI ASISITIZA KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZETU ZOTE
link : RAIS MAGUFULI ASISITIZA KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZETU ZOTE

soma pia


RAIS MAGUFULI ASISITIZA KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZETU ZOTE


Rais John Magufuli amewaahidi Watanzania kuwa tutaulinda muungano wetu kwa nguvu zetu zote na asitokee mtu yeyote atakayetaka kuuvunja kwasababu atavunjika yeye.Rais Magufuli aliyasema hayo wakati akihutubia umma wa Watanzania  kupitia kwa jumuia ya watu wa Dodoma waliokusanyika uwanja wa Jamhuri Dodoma kushuhudia maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Rais Magufuli alitumia fursa hiyo kuwashukuru na kuwapongeza waasi wa muungano kwani ni jambo jema kwani muungano ndio Utanzania wetu. Aisha aliwashukuru marais wastaafu kwa kazi ngumu waliyoendelea kuifanya ya kuuenzi na kuulinda muungano wetu. Rais Magufuli alisema "kuulinda muungano ni jambo gumu sana kwani hata baadhi yetu tumeshindwa kuzilinda ndoa zetu, hivyo kuwapongeza sana". Rais aliwataka Watanzania  kwa umoja wao popote walipo wafanye jitihada za kuulinda na kuimarisha Muungano kwasababu muungano ndio silaha yetu, ndio jembe letu na ndio umoja wetu. Rais alisisitiza kuwa tunaweza pata mafanikio kwasababu ya amani. Hivyo ni lazima tudumishe amani ili muungano wetu uendelee kudumu.Aisha, maadhimisho haya ya muungano yamefanyika kwa mara ya kwanza Dodoma mji mkuu wa Tanzania huku kukiwa na dhamira ya dhati ya serikali hii ya awamu ya tano ya kuhamia Dodoma kabla ya mwaka 2020 kwani mpaka sasa awamu ya kwanza ya kuhamia Dodoma imekamilika ambapo tayari Waziri mkuu na wizara zote zimeshahamia Dodoma. 

Katika siku hii ya maadhimisho ya muungano Rais ametoa msamaha kwa zaidi ya wafungwa elfu 20 





Hivyo makala RAIS MAGUFULI ASISITIZA KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZETU ZOTE

yaani makala yote RAIS MAGUFULI ASISITIZA KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZETU ZOTE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI ASISITIZA KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZETU ZOTE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/rais-magufuli-asisitiza-kuulinda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI ASISITIZA KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZETU ZOTE"

Post a Comment

Loading...