Loading...
title : RC MAKALLA APOKEA MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA,KUKIMBIZWA WILAYA 7 NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO
link : RC MAKALLA APOKEA MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA,KUKIMBIZWA WILAYA 7 NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO
RC MAKALLA APOKEA MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA,KUKIMBIZWA WILAYA 7 NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO
Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Mh Amos Makalla ameupokea Mwenge wa Uhuru kutoka mkoawa Songwe mapema jana,jijini humo huku vifijo na nderemo za kuwasili mwenge huo vikiwa vimeshamiri,Hafla ya kuupokea Mwenge huo imefanyika Wilayani Chunya April 16,2017.Mwenge huo ukiwa mkoani Mbeya utakimbizwa katika halmashauri saba,ambapo utafanya kazi ya kukagua,kuzindua na kuweka Mawe ya Msingi miradi mbalimbali yenye thamani ya shilingi Bilioni 10.8
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla akiupokea Mwenge wa Uhuru wilayani
Chunya mkoani Mbeya sambamba na kula kiapo cha kuukimbiza mwenge huo katika halmashauri zote za mkoa wa Mbeya.
Baadhi ya makamanda wa jeshi la Polisi ambao pia ni miongoni Mwa wakimbiza mwenge wa Uhuru uliowasali hapo mkoani Mbeya
Baadhi ya wanachama na Wafuasi wa Chama cha Mapindizi (CCM) sambamba na
viongozi wa chama wakisherehekea mapokezi ya Mwenge huo wa Uhuru ulio wasili jana April 16,2017 mkoani Mbeya na kupokelewa na mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos makalla
Hivyo makala RC MAKALLA APOKEA MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA,KUKIMBIZWA WILAYA 7 NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO
yaani makala yote RC MAKALLA APOKEA MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA,KUKIMBIZWA WILAYA 7 NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKALLA APOKEA MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA,KUKIMBIZWA WILAYA 7 NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/rc-makalla-apokea-mwenge-wa-uhuru_17.html
0 Response to "RC MAKALLA APOKEA MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA,KUKIMBIZWA WILAYA 7 NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO"
Post a Comment