Loading...

ROONEY, RASHFORD KUONGOZA MAANGAMIZI DHIDI YA MANCHESTER CITY USIKU HUU

Loading...
ROONEY, RASHFORD KUONGOZA MAANGAMIZI DHIDI YA MANCHESTER CITY USIKU HUU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ROONEY, RASHFORD KUONGOZA MAANGAMIZI DHIDI YA MANCHESTER CITY USIKU HUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ROONEY, RASHFORD KUONGOZA MAANGAMIZI DHIDI YA MANCHESTER CITY USIKU HUU
link : ROONEY, RASHFORD KUONGOZA MAANGAMIZI DHIDI YA MANCHESTER CITY USIKU HUU

soma pia


ROONEY, RASHFORD KUONGOZA MAANGAMIZI DHIDI YA MANCHESTER CITY USIKU HUU


Jose Mourinho anatazamiwa kumtumia kinda wa Manchester United Marcus Rashford kuongoza mashambulizi ya timu hiyo dhidi ya mahasimu wao wa jiji la Manchester, Manchester City sambamba na mkongwe anaeongoza kupachika mabao klabuni hapo Wayne Rooney. 

Boss wa mashetani wekundu, Jose Mourihno alimpanga Rashford wakati wa mazoezi ya kujiandaa na 'derby' hiyo. Naye Rooney, aliyerejea kikosini kwenye mchezo dhidi ya Burnley siku ya Jumapili na kupachika bao moja, anatazamiwa kuendelea kuwemo kikosini kwenye mchezo wa leo usiku, huku kiungo ghali, Mfaransa Paul Pogba akiukosa mchezo huo utakao pigwa uwanjani Etihad.


Kuelekea mechi hii, Mourinho pia ana tatizo lingine la majeruhi kutoka kwa mabeki wa kati kutoka Uingereza wanaougulia maumivu. Phil Jones anarejea kutoka kwenye majeruhi ya kuvunjika kidole cha mguu wakati Chris Smalling ana matatizo ya goti. Baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Burnley, Mourinho alisema wachezaji hao watakua tayari kwa mchezo wa leo, lakini kwa sasa amesema anawaangalia kwa tahadhari kubwa. Antonio Valencia pia anatarajiwa kurejea kikosini leo.

Mechi ya leo ina umuhimu mkubwa kwa United ambao wanataka kuongezea kwenye mafanikio yao msimu huu ya kuchukua ngao ya jamii, kombe la ligi kwa kuwapiku mahasimu wao City nafasi ya mwisho kushiriki Klabu bingwa barani Ulaya msimu ujao na kuchukua Europa league,  kombe ambalo Mourinho amelipa kipaumbele wakielekea mwishoni mwa msimu wa 2016/17.



Hivyo makala ROONEY, RASHFORD KUONGOZA MAANGAMIZI DHIDI YA MANCHESTER CITY USIKU HUU

yaani makala yote ROONEY, RASHFORD KUONGOZA MAANGAMIZI DHIDI YA MANCHESTER CITY USIKU HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ROONEY, RASHFORD KUONGOZA MAANGAMIZI DHIDI YA MANCHESTER CITY USIKU HUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/rooney-rashford-kuongoza-maangamizi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ROONEY, RASHFORD KUONGOZA MAANGAMIZI DHIDI YA MANCHESTER CITY USIKU HUU"

Post a Comment

Loading...