Loading...

SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA.

Loading...
SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA.
link : SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA.

soma pia


SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA.


Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.

Serikali kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unakamilisha taratibu za uwekeza kwenye vifaa tiba vitokanavyo na pamba na bidhaa za maji ya dripu(Infusion Fluids).

Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage wakati akijibu hoja mbalimbali za wabunge mjini Dodoma.

“Gharama za miradi hii inakadiriwa kufikia dola za kimarekani milioni 36.5 na kutoa ajira za moja kwa moja 1600 na zisizo za moja kwa moja 5000”, Alisema Mhe.Mwijage.

Amesema mradi huu unakadiriwa kutumia pamba tani elfu 50 kwa mwaka na Serikali ya Mkoa wa Simiyu inaendelea na jitihada za kutenga maeneo ya uwekezaji kwa kuwalenga wajasiriamali wadogo,wa kati mpaka wakubwa bila kujali kama ni wa kutoka ndani au nje ya nchi.

Aidha amesema kuwa azma ya Serikali ya ujenzi wa uchumi wa viwanda imeainishwa vyema katika mpango wa pili wa Maendeleo wa miaka mitano wa mwaka 2016/17-2020/21 wenye dhima ya kujenga uchumi wa viwanda ili kuleta mageuzi ya kiuchumi na maendeleo ya watu.

Pamoja na hayo ameainisha kuwa ili kufikia azma hiyo ushiriki wa mchango wa mtu mmoja mmoja,makundi ya watu,taasisi za umma na taasisi binafsi unahitajika.

Amebainisha mikakati minne ambayo imeanza kufanyiwa utekelezaji ni ya ngozi,mafuta ya kula,nguo na mazao jamii ya kunde uku wakati huohuo mpango wa wilaya moja,zao moja na uhamasishaji wa ujenzi wa viwanda chini ya SIDO unaendelea nchini kote.


Hivyo makala SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA.

yaani makala yote SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/serikali-kuwekeza-kwenye-vifaa-tiba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA."

Post a Comment

Loading...