Loading...

SIMBA YAJIFICHA MORO,YATAMBA KUWA MTU HAPOTEI MARA MBILI

Loading...
SIMBA YAJIFICHA MORO,YATAMBA KUWA MTU HAPOTEI MARA MBILI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA YAJIFICHA MORO,YATAMBA KUWA MTU HAPOTEI MARA MBILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA YAJIFICHA MORO,YATAMBA KUWA MTU HAPOTEI MARA MBILI
link : SIMBA YAJIFICHA MORO,YATAMBA KUWA MTU HAPOTEI MARA MBILI

soma pia


SIMBA YAJIFICHA MORO,YATAMBA KUWA MTU HAPOTEI MARA MBILI

Mwambawahabari

WhatsApp Image 2017-04-25 at 05.48.32
KIKOSI cha timu ya Simba kimeendelea kujifua kwa nguvu wakijiandaa na mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam utakaofanyika mwishioni mwa wiki hii.
Jumamosi ya April 29, ni nusu fainali ya kwanza ya kombe la Shirikisho la Azam HD baina ya Simba na Azam itakaopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa.
Kwa sasa Simba wapo Morogoro wakijiandaa na mchezo huo ambapo chini ya Kocha Joseph Omog na Jackson Mayanja kimeamua kujichimbia huko kwa ajili ya kuwapa muda wa kupumzika wachezaji wake na kuwapa mbinu mpya mbalimbali.
Hii inakuwa ni mechi ya ushindani mkubwa sana kwa timu hizi mbili zikikutana kwa mara ya tatu ndani ya msimu mmoja ambapo katika michezo miwili ya awali ila mmoja akishinda mchezo mmoja.

Kwa mujibu wa Kiongozi wa Simba, Abbas Ally amesema kuwa wachezaji wana ari kubwa sana na wako vizuri na wanaamini watapigana mpaka mwisho ili kupata ushindi kwenye mchezo huo.
“Huu ni mchezo muhimu sana kwetu, ni muhimu kupata ushindi  ili tuweze kuingia fainali ya kombe la Shirikisho na wachezaji wana ari kubwa sana ya ushindi na wameahidi kupambana mpaka mwisho,”amesema Ally.
Mpaka sasa Kikosi cha Simba kinakabiliwa na majeruhi wawili ambao wanatarajiwa kuukosa mcheoz huo ambao ni Hamad Juma na Jamal Mnyate.


Hivyo makala SIMBA YAJIFICHA MORO,YATAMBA KUWA MTU HAPOTEI MARA MBILI

yaani makala yote SIMBA YAJIFICHA MORO,YATAMBA KUWA MTU HAPOTEI MARA MBILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAJIFICHA MORO,YATAMBA KUWA MTU HAPOTEI MARA MBILI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/simba-yajificha-moroyatamba-kuwa-mtu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA YAJIFICHA MORO,YATAMBA KUWA MTU HAPOTEI MARA MBILI"

Post a Comment

Loading...