Loading...
title : SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA
link : SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA
SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda (kulia) ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akipiga picha ya pamoja na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akikabidhiwa zawadi ya Busati toka kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Iran nchini Tanzania, katikati ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA
yaani makala yote SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/spika-akutana-na-balozi-wa-iran-nchini.html
0 Response to "SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA"
Post a Comment