Loading...
title : SPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
link : SPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
SPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) wakati akikagua kikosi cha timu ya netball ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dhidi ya timu ya netball ya Bunge la Wawakilishi Zanzibar, katika mchezo uliochezwa leo katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Mchezaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye jezi ya rangi ya bluu bahari, akifunga goli dhidi ya timu ya Bunge la Wawakilishi Zanzibar, katika mchezo wa netball uliochezwa leo katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Wachezaji wa timu ya netball ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jezi ya rangi ya bluu bahari), wakipambana na wachezaji wa Bunge la Wawakilishi Zanzibar (jezi orange), katika mchezo wa netball uliochezwa leo katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
yaani makala yote SPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/spika-wa-bunge-akagua-vikosi-vya-timu.html
0 Response to "SPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR"
Post a Comment