Loading...

SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI

Loading...
SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI
link : SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI

soma pia


SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, na Watu wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama, akipata maelezo kutoka kwa Kaimu meneja wa Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bi Amina Ally alipotembelea banda la SSRA wakati wa Maonyesho ya Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi OSHA yanayoendelea mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Maafisa wa SSRA wakitoa ufafanuzi juu ya Masuala yanayoihusu Sekta ya Hifadhi ya Jamii kwa wadau waliotembelea banda la Mamlaka hiyo wakati wa Maonesho ya OSHA yanayoendeleaa Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Afisa Uhisiano na Uhamasiahaji wa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bw Ally Masaninga akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la SSRA wakati wa Maonesho ya OSHA yanayondelea Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, na Watu wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha Ushiriki Kaimu meneja wa Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) bi Amina Ally wakati wa kilele cha maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi yanayoendelea Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Wananchi wakisikiliza maelezo kutoka kwa afisa wa SSRA wakati wa maonesho ya OSHA yanayofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.


Hivyo makala SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI

yaani makala yote SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/ssra-yashiriki-maonyesho-ya-maadhimisho.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI MJINI MOSHI"

Post a Comment

Loading...