Loading...
title : TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
link : TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
Waibaji wa kwaya ya Sauti ya Mungu kutoka Kanisa la Siloam, Mbezi, Makonde jijini Dar es Salaam, wakiimba na kucheza wimbo unaoitwa Mungu uliyetuumba wote, vizazi vyote katika Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Kampuni ya Msama Promotions, Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Vijana wa Kwaya ya KKKT Mwananyamala, wakiimba na kucheza wimbo unaoitwa Siku ya Mwisho, wakati wa tamasha hilo.
Mashabiki waliohudhuria katika Tamasha la Pasaka wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka na kupiga picha za selfi, uwanjani hapo.
Hivyo makala TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/tamasha-la-pasaka-lilivyofana-uwanja-wa_17.html
0 Response to "TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment