Loading...
title : UCHAGUZI DRFA WAFANYIKA, KASONGO ATETEA KITI CHAKE
link : UCHAGUZI DRFA WAFANYIKA, KASONGO ATETEA KITI CHAKE
UCHAGUZI DRFA WAFANYIKA, KASONGO ATETEA KITI CHAKE
Mwenyekiti wa chama cha Mpira mkoa wa Dar es salaam (DRFA) Almas Kasongo (Kushoto).
Na Zainab Nymaka, Globu ya Jamii
UCHAGUZI wa chama cha Mpira mkoa wa Dar es salaam (DRFA) umefanyika leo na kuwapata viongozi waoya huku Mwenyekiti Almas Kasongo ameendelea kutetea nafasi yake katika chama .
Katika uchaguzi huo Kasongo amefanikiwa kushinda .wa kuibuka na kura 12 dhidi kura 9 za mpinzani wake wakaribu Peter Muh
Salum Mwaking'anda ameshinda nafasi ya makamu mwenyekiti huku nafasi ya katibu akichukua Msanifu Kondo.
Baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo alipata wasaa wa kuzungumza na kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi Kasongo amewashukuru wajumbe wa kamati ya utendaji kwa imani kubwa waliyonayo juu yake kwa kumchagua tena kwa awamu ya pili na kuahidi kuleta maendeleo ya soka la Dar es Salaam.
"Napenda kuwashukuru sana wajumbe wote kwa kuweza kuonyesha imani kubwa kwangu na mmeweza kuniamini tena katika awamu ya pili na ninaahidi katika miaka minne mingine kwa kushirikiana na wenzangu tutaendelea kuinua soka la Dar," alisema Kasongo.
Katika nafasi zingine Mchambuzi wa masuala ya soka Shaffih Dauda ameweza kuchaguliwa kuwa mjumbe mwakilishi wa vilabu huku Amour Amour, Bakari Mtumwa na Funua Ally wakichaguliwa kwenye kamati ya utendaji.
Hivyo makala UCHAGUZI DRFA WAFANYIKA, KASONGO ATETEA KITI CHAKE
yaani makala yote UCHAGUZI DRFA WAFANYIKA, KASONGO ATETEA KITI CHAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI DRFA WAFANYIKA, KASONGO ATETEA KITI CHAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/uchaguzi-drfa-wafanyika-kasongo-atetea.html
0 Response to "UCHAGUZI DRFA WAFANYIKA, KASONGO ATETEA KITI CHAKE"
Post a Comment