Loading...

Utalii : Crater ya Ngorongoro yapata Umaarufu baada ya Kurusha Mbashara na Clouds 360 kutoka Eneo la Miti Mitatu

Loading...
Utalii : Crater ya Ngorongoro yapata Umaarufu baada ya Kurusha Mbashara na Clouds 360 kutoka Eneo la Miti Mitatu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Utalii : Crater ya Ngorongoro yapata Umaarufu baada ya Kurusha Mbashara na Clouds 360 kutoka Eneo la Miti Mitatu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Utalii : Crater ya Ngorongoro yapata Umaarufu baada ya Kurusha Mbashara na Clouds 360 kutoka Eneo la Miti Mitatu
link : Utalii : Crater ya Ngorongoro yapata Umaarufu baada ya Kurusha Mbashara na Clouds 360 kutoka Eneo la Miti Mitatu

soma pia


Utalii : Crater ya Ngorongoro yapata Umaarufu baada ya Kurusha Mbashara na Clouds 360 kutoka Eneo la Miti Mitatu



Gari maalumu la kurushia matangazo ya moja kwa moja la kituo ha televisheni cha Clouds likiwa Crater ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongo kwa ajili ya kurusha kipindi cha Clouds 360.



Mtangazaji Sam Sasali akifungua kipindi Clouds 360 moja kwa moja kutoka eneo la Crater Ngorongoro.

Watangazaji Babie Kabaye na Hassan Ngoma wakijiandaa kuanza kipindi.

Kipindi cha Clouds 360 kikirushwa kutoka eneo la Crater Ngorongoro.

Watangazaji Babie Kabaye na Hassan Ngoma wakizungumza jambo wakati wakimkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani katika mahojiano wakati wa kipindi hicho.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika eneo la Miti mitatu ndani ya Crater Ngorongoro.

Watangazaji Babie Kabaye na Hassan Ngoma ,wakifanya mahojiano na Naibu Waziri Ramo Makani.

Mkurugenzi wa Utalii wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Ibrahim Musa (kulia) pamoja na Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete wakifuatilia kipindi hicho katika eneo la Crater.



Wananchi wa jamii ya Masai pia walijumika na askari wa Hifadhi hiyo kufuatilia kipindi hicho.

Mtangazaji wa Sports 360,James Tupatupa akivishwa vazi rasmi na wananchi kabila la Wamang'ati wakati akiingia katika kipengere cha michezo katika kipindi hicho.





Mhandisi Ramo Makani akizungumza jambo na viongozi wa TANAPA na Ngorongoro.



Naibu Waziri,Makani akiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa jamii ya Wamang'ati katika ene la Miti Mitatu.Ngorongoro.

Mnyama Tembo akionekana katika eneo la Crater ,Ngorongoro.

Eneo la Mti Mitatu.

Wanyama Pundamilia ndani ya Crater,Ngorongoro.

Wanyama Nyumbu katika Crater ,Ngorongoro.





Eneo la Crater katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro




Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.


Hivyo makala Utalii : Crater ya Ngorongoro yapata Umaarufu baada ya Kurusha Mbashara na Clouds 360 kutoka Eneo la Miti Mitatu

yaani makala yote Utalii : Crater ya Ngorongoro yapata Umaarufu baada ya Kurusha Mbashara na Clouds 360 kutoka Eneo la Miti Mitatu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Utalii : Crater ya Ngorongoro yapata Umaarufu baada ya Kurusha Mbashara na Clouds 360 kutoka Eneo la Miti Mitatu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/utalii-crater-ya-ngorongoro-yapata.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Utalii : Crater ya Ngorongoro yapata Umaarufu baada ya Kurusha Mbashara na Clouds 360 kutoka Eneo la Miti Mitatu"

Post a Comment

Loading...