Loading...
title : UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017
link : UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017
UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Jane Kajiru akitoa maelekezo ya kumchagua mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2017.
Wawakilishi wa wafanyakazi bora wa Idara/Vitengo vya Ofisi ya Rais-Utumishi wakiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Jane Kajiru wakishuhudia kura zikihesabiwa ili kumpata mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2017.
Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakisikiliza maelekezo ya uchaguzi wa mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2017 uliofanyika leo katika ofisi hiyo.
Hivyo makala UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017
yaani makala yote UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/utumishi-yachagua-mfanyakazi-bora-wa_29.html
0 Response to "UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017"
Post a Comment